Huduma 71 katika sehemu 1271 capabilities across 12 areas

Kila kitu shule yako inahitajiEverything your school needs

Mfumo mmoja unaobeba masomo, ada, fedha, wafanyakazi, usafiri na mawasiliano — pamoja na app za simu kwa wazazi, walimu na madereva.One system covering academics, fees, finance, staff, transport and communication — with mobile apps for parents, teachers and drivers.

Masomo na MitihaniAcademics & Exams

  • Madarasa, mikondo na masomoClasses, streams and subjects
  • Mwaka wa masomo na mihulaAcademic years and terms
  • Ratiba ya vipindi na muda wakeTimetable with period times
  • Mitihani na uwekaji wa alamaExams and marks entry
  • Madaraja ya NECTA (O-Level, A-Level, Msingi)NECTA grading — O-Level, A-Level, Primary
  • Jedwali kuu la matokeo (broadsheet)Class broadsheet
  • Ripoti za mwanafunzi na slip za matokeoReport cards, term reports and result slips
  • Uchambuzi wa matokeo kwa somo na darasaResult analysis by subject and class
  • Mitihani mtandaoni na benki ya maswaliOnline exams and a question bank
  • Kupandisha darasa mwisho wa mwakaEnd-of-year promotion

Wanafunzi na UdahiliStudents & Admissions

  • Rekodi kamili za wanafunzi na wazaziFull student and guardian records
  • Kuingiza wanafunzi wengi kwa CSVBulk student import from CSV
  • Maombi ya udahili mtandaoniOnline admission applications
  • Barua za kukubaliwa na kukataliwaAcceptance and regret letters
  • Vitambulisho vya wanafunzi na wafanyakaziStudent and staff ID cards
  • Vyeti vya usajili na barua za uhamishoEnrollment certificates and transfer letters
  • Mahudhurio ya kila siku, pamoja na simuDaily attendance, including from a phone

Ada na MalipoFees & Payments

  • Muundo wa ada kwa darasa na muhulaFee structures per class and term
  • Punguzo la ndugu na ufadhiliSibling discounts and scholarships
  • M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel MoneyM-Pesa, Tigo Pesa and Airtel Money
  • Ankara, risiti na taarifa za mwanafunziInvoices, receipts and per-student statements
  • Ripoti za ukusanyaji na madeniCollection and outstanding-balance reports
  • Upatanisho wa malipoPayment reconciliation
  • Wazazi wanaona ada kwa kina kwenye simuParents see fees itemised in the app

Fedha na Kodi (TRA)Finance & Tax (TRA)

  • Matumizi, mapato na bajetiExpenses, income and budgets
  • Taarifa ya mapato na matumiziProfit and loss statement
  • Mizania na mtiririko wa fedhaBalance sheet and cash flow
  • Karatasi ya hesabu ya safu kumiTen-column accounting worksheet
  • PAYE, NSSF, SDL na VATPAYE, NSSF, SDL and VAT
  • Kodi ya zuio (WHT) kwa wasambazajiWithholding tax on supplier payments

Wafanyakazi na MishaharaHR & Payroll

  • Rekodi za wafanyakazi na mikatabaStaff records and contracts
  • Likizo na mahudhurio ya wafanyakaziLeave and staff attendance
  • Mishahara na slip za malipoPayroll runs and payslips
  • Vyeti vya P9 na marejesho ya PAYE/NSSF/SDLP9 certificates and PAYE/NSSF/SDL returns
  • Barua za ajira, uzoefu na kumalizaEmployment, experience and completion letters

Usafiri na GPSTransport & GPS

  • Njia, vituo na magariRoutes, stops and vehicles
  • Ufuatiliaji wa basi wa wakati halisiLive bus tracking on a map
  • App ya dereva kwa kupandisha na kushushaA driver app for pickups and drop-offs
  • Mafuta na matengenezo ya magariFuel logs and vehicle maintenance
  • Wazazi wanafuatilia basi la mwanaoParents follow their own child's bus

Maktaba, Bweni, Zahanati na MaliLibrary, Hostel, Clinic & Assets

  • Maktaba: vitabu, kuazima na ripotiLibrary: books, borrowing and reports
  • Bweni: vyumba na mgawanyo wa wanafunziHostel: rooms and student allocation
  • Zahanati: rekodi na taarifa kwa wazaziClinic: records and parent alerts
  • Bohari: bidhaa na mienendo yakeInventory: items and movements
  • Daftari la mali na lebo za maliAsset register and asset labels

Manunuzi na WasambazajiProcurement & Suppliers

  • Wasambazaji na oda za manunuzi (LPO)Suppliers and purchase orders (LPO)
  • Nukuu za bei kutoka kwa wasambazajiSupplier quotations
  • Risiti ya kupokea bidhaa (GRN)Goods received notes (GRN)
  • Taarifa za wasambazaji na uchambuziSupplier statements and spend analytics
  • App ya msambazaji kwa nukuu na malipoA supplier app for quotes and payments

MawasilianoCommunication

  • SMS kwa Africa's Talking, namba za +255SMS via Africa's Talking, +255 numbers
  • Taarifa za simu (push) kwa appPush notifications to the apps
  • Ujumbe wa pande mbili na wazaziTwo-way messaging with parents
  • Matangazo, notisi na matukioAnnouncements, notices and events
  • Vielelezo vya ujumbe vinavyotumika tenaReusable message templates

App za SimuMobile Apps

  • Mzazi: ada, matokeo, ratiba, kazi, basiParent: fees, results, timetable, homework, bus
  • Mwalimu: mahudhurio, alama, ratiba, kaziTeacher: attendance, marks, timetable, homework
  • Msimamizi: dashibodi, wanafunzi, fedhaAdmin: dashboard, students, finance
  • Dereva: safari na GPSDriver: routes and GPS
  • Kufanya kazi bila mtandao na kusawazishaWorks offline and syncs when back online
  • Kiswahili na KiingerezaSwahili and English throughout

Tovuti ya ShuleSchool Website

  • Tovuti ya shule yenye kurasa zakeA public website with its own pages
  • Habari, matukio na matunzio ya pichaNews, events and photo galleries
  • Kampeni za kuchangisha fedhaFundraising campaigns
  • Maombi ya udahili moja kwa moja mtandaoniAdmission applications straight from the site
  • Kikoa cha shule yenyeweThe school's own domain

Usalama na MfumoSecurity & Platform

  • Kila shule ina data yake pekeeEvery school's data is entirely its own
  • Majukumu na ruhusa kwa kila mtumiajiRoles and per-user permissions
  • Kumbukumbu ya kila kilichofutwaAn audit record of every deletion
  • Nakala rudufu na kurejeshaBackups and restore
  • Shule nyingi kwenye mfumo mmojaMany schools on one installation

Tayari kuanza?Ready to start?

Ona mfumo ukifanya kazi, au wasiliana nasi kwa maswali.See it working, or get in touch with questions.

Ona DemoSee the demo Wasiliana NasiContact us